POGBA KUVUTA MKWANJA MREFU UNITED
IMEFICHUKA kuwa Paul Pogba ataondoka na bonasi ya pauni milioni 3.78 (Sh bilioni 11) atakapoachana na Manchester United mara baada ya mkataba wake kufikia tamati mwishoni mwa mwezi huu. United ilithibitisha kuwa kiungo huyo Mfaransa ataondoka Old Trafford mkataba wake utakapomalizika Juni 30, huku pia ikithibitishwa kuwa Jese Lingard naye anasepa. Licha ya kuwa na…
MIPANGO MIKUBWA YA USAJILI YANGA NI KIMATAIFA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeweka wazi kuwa msimu ujao malengo yao ni kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa wanayotarajia kushiriki kutokana na kuwa kwenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/22. Yanga inahitaji pointi tatu ili kutwaa ubingwa wa ligi pia imetinga Fainali ya Kombe la…
NAMNA YA KUCHEZA, NA KUSHINDA KENO MERIDIANBET!
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1 mpaka 80. Huu ni mchezo wa bahati nasibu, ukiwa na bahati sana utashinda pesa nyingi zaidi. Mchezo huu ni moja ya michezo inayopendwa na wachezaji wengi wa…
VIJANA REAL MARDRID WAFICHUA SIRI ZA UBINGWA
REAL Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) na Supercup ya Hispania msimu huu wa 2021/22, na mafanikio yao yana siri nyuma yake. Baada ya msimu wa 2020/21 ambao ulimalizika bila mataji na baada ya kuondoka kwa watu wawili muhimu kikosini – Zinedine Zidane na Sergio Ramos –…
STARS YAREJEA KUANZA KUIPIGIA HESABU ALGERIA
BAADA ya kupata pointi moja ugenini Jana Juni 4,2022 leo Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, imewasili Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere wakitokea Cotonou, Benin walipokuwa kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu AFCON. Kwenye mchezo huo dhidi ya Niger ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1 na kuwafanya Stars kupata pointi moja….
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
SIMBA:TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE NJAA YA MAFANIKIO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah amesema kuwa msimu ujao watafanya usajili mkubwa kwa kuleta wachezaji wenye njaa ya mafanikio. Kwa sasa Simba ipo kwenye mchakato wa kumsaka kocha mpya baada ya Mei 31,2022 kumchimbisha Pablo Franco ambeya alikuwa kwenye benchi la ufundi. Mchezo wake wa mwisho kukaa benchi ilikuwa Mei 28 mbele ya…
ANTONIO RUDIGER ASANI MIAKA MINNE REAL MADRID
REAL Madrid imempa dili la miaka minne beki wa kazi akitokea Klabu ya Chelsea ambayo alikuwa akiitumikia. Ni Antonio Rudiger amejiunga bure na Mabingwa wa Ligi ya Ulaya ambao waliinyoosha kwa bao 1-0 Liverpool. Nyota huyo ni raia wa Ujerumani amemaliza mkataba wake ndani ya Stamford Bridge na hakuwa tayari kuweza kuongeza dili jipya zaidi…
JUVENTUS YAMVUTIA KASI POGBA
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester UnitedPaul Pogba inatajwa kwamba anaweza kujiunga na Juventus ambayo imemuwekea mkwanja mrefu kupata saini yake. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kumeguka ndani ya Manchester United mwisho wa msimu huu na hana mpango wa kuongeza dili jipya kwa kuwa tayari ameshawaaga maosi wake. Alijiunga na United akitokea Klabu ya Juventus na ametoa…
SIMBA YABAINISHA SABABU ZA KUMCHIMBISHA PABLO
MABOSI Simba wameweka wazi kwamba kushindwa kutimiza yale aliyosaini kwenye mkataba ni sababu iliyofanya kufutwa kazi kwa Pablo Franco aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba. Mei 31,Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez waliweka wazi kwamba wamefikia makubaliano ya kuachana na Pablo kwenye nafasi hiyo na timu kwa sasa ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni…
KAMBOLE AINGIA ANGA ZA YANGA
IMEELEZWA kuwa Lazarous Kambole anayekipiga ndani ya Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini yupo kwenye hesabu za mabosi wa Yanga. Huyo ni mshambuliaji wa kimataifa ambaye anatajwa kuwa kwenye hesabu za vinara hao wa ligi ambao wapo kwenye kusubiri hesabu zikamilike watwae taji la Ligi Kuu Bara kwa kuwa wamewaacha wapinzani wao Simba kwa…
SHIME:CAMEROON WAGUMU,LAKINI TUTASHINDA
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa za Wanawake Tanzania,amesema kuwa mchezo wa marudiano baina yao dhidi ya Timu ya Taifa ya Wasichana wa U 17 Serengeti Girls dhidi ya Cameroon kuwania Kufuzu Kombe la Dunia hautakuwa rahisi. Licha ya kutambua kwamba mchezo huo hautakuwa rahisi kutokana na kila timu kuhitaji ushindi, Shime amebainisha…
MWENDO WA BIASHARA UNITED NA MBEYA KWANZA UNA JAMBO LAO
KAZI haiwezi kuwa nyepesi kwa kuwa lazima mapambano yawe makubwa katika kufanya hilo jambo ambalo unalihitaji kwa wakati. Kila mmoja kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa anapambana kuweza kufikia malengo ambayo alianza nayo mwanzo wa msimu wa 2021/22 ambao unakaribia kugota mwisho. Hakika ni moja ya msimu wenye ushindani mkubwa na kila timu inafanya vizuri…
TAIFA STARS KUVAA NIGER LEO
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu AFCON 2023. Jana Mei 3,2022 wachezaji wa Timu ya Taifa,Taifa Stars, walifanya mazoezi ya mwisho Stadium L’amitié General Matthieu KEREKOU, Cotonou, Benin kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kundi F kufuzu…
KUNA WINGA YANGA ALITISHIWA KUROGWA
MJUE winga ambaye alitishiwa kurogwa ndani ya Yanga kisa Simba, yote haya ni ndani ya Championi Jumamosi.
MKALI WA PASI NDANI YA SIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI
IMEELEZWA kuwa kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Simba msimu wa 2021/22 Rally Bwalya yupo kwenye hesabu za timu moja ya Afrika Kusini. Inatajwa kwamba ni Klabu ya Amazulu ya Afrika Kusini inahitaji saini ya raia huyo wa Zambia kwa ajili ya msimu ujao. Ikumbukwe kwamba kiungo huyo aliibuka ndani ya…