MERIDIAN GAMING GROUP KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA COVID – 19
Tangu mwanzo wa janga la COVID-19, kampuni zote za Meridian Gaming Group zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi katika kuzisaidia jamii sehemu mbalimbali duniani. Mchango wa kampuni hii katika kupambana na Covid-19 ni mkubwa kama ambavyo Meridian Gaming Group imeonesha kwenye matokeo yake ya mwaka 2021 katika kupambana na janga hili. Meridian imeripoti kuchangia zaidi…