Home Sports STEVEN GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA

STEVEN GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA

Nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard,  leo Novemba 11, 2021 ametangazwa rasmi kuwa Meneja mpya wa Aston Villa.

Gerrard (41) ambaye alikuwa kocha wa Klabu ya Glasgow Rangers tangu 2018 anachukua, nafasi ya Dean Smith aliyefutwa kazi siku ya Jumapili.

 

Previous articleBARAKAH THE PRINCE – NAMKUMBUKA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Next articleKOCHA WA SIMBA KUIBUKIA KWA MKAPA