
YANGA INAUWAZA UBINGWA
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa mipango ya timu hiyo kwa msimu wa 2021/22 ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na pointi 19 baada ya kucheza mechi 7 na imekusanya jumla ya mabao 12 ambayo yamefungwa na timu hiyo. Safu ya ulinzi imekuwa imara…