
MORRISON MJANJA KWELI,ANAJILINDA NA CORONA
KIUNGO Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Bernard Morrison ameanza kujihami na changamoto za kubambikiwa kesi ya kukutwa na Maambukizi ya Virusi vya Corona. Morrison ameonesha hali hiyo kwa kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagarm inayomuonesha akiwa Uwanja wa Ndege, amevaa Barakoa hadi machoni. Morisson ameandika: Trying to protect myself…