
BOSI SIMBA ABAINISHA KUWA USHINDI UPO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’, amesema kuwa Yanga ni watoto wadogo kwa Simba na timu yao ipo tayari kuchukua alama tatu, Desemba 11. Try Again alisema wao wanauchukulia mchezo wao na Yanga kama michezo mingine wanayocheza kwenye ligi na kwamba suala la kupata ushindi kwenye mchezo huo ni…