
TAIFA STARS YAPOTEZA KWA MKAPA
IKIWA uwanja wa Mkapa leo Novemba 11, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya DRC Congo. Ilikuwa ni katika kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Stars ilikuwa inapambana kupata pointi tatu sawa na DRC Congo. Kipindi cha kwanza umakini kwa safu ya ushambuliaji ya Stars inayoongozwa na Mbwana…