
MASTAA WENYE MAKOMBE MENGI ZAIDI
DANI Alves mwenye miaka 38 ni raia wa Brazil aliwahi kucheza Barcelona msimu wa 2008/16 anaingia kwenye orodha ya nyota waliotwaa mataji mengi akiwa nayo 42. Lonel Messi raia wa Argentina anakipiga PSG yeye ametwaa mataji 37 ,afanikio yake makubwa aliyapata akiwa ndani ya Klabu ya Barcelona. Andres Iniesta mwenye miaka 37 nyota aliyekipiga pia…