YANGA YAMBAKISHA MSUVA DAR
INAELEZWA kwamba, Klabu ya Yanga, imembakisha jijini Dar winga Simon Msuva baada ya kumpa ofa ya kujiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Msuva ambaye aliitumikia Yanga kuanzia mwaka 2012 hadi 2017 alipoondoka kwenda Morocco kuichezea Difaâ El Jadida, kwa sasa yupo hapa nchini kutokana na kuwa na mgogoro na timu yake ya…