MSELELEKO WALIOUPATA AZAM FC KUMNASA MR HAT TRICK HUU HAPA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa mseleleko ambao waliopata kuinasa saini ya kiungo kutoka Coastal Union Abdul Hamis Suleiman,’Sopu’ umetokana na kuwa na marafiki ndani ya Azam FC ambao ni wachezaji pia. Sopu alikuwa kwenye hesabu za Coastal Union wenyewe ambao walikuwa kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba,Simba na Yanga nao wanatajwa kuwa walikuwa wanahitaji…