MSHAHARA WA KOCHA MPYA SIMBA ACHA KABISA
BAADA ya mabosi wa Simba kukamilisha mazungumzo na Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Erradi Adil raia wa Morocco, imebainika kuwa, mshahara wake ni mkubwa kuzidi wa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco raia wa Hispania. Inaelezwa kwamba, Erradi ndani ya APR, analipwa mshahara wa Euro 20,000 ambayo ni sawa shilingi milioni 50 za…