YANGA MPYA TISHIO AFRIKA,STAA MNIGERIA RASMI ATAMBULISHWA SIMBA
YANGA mpya tishio Afrika,yawa gumzo kila kona makocha,wachambuzi wakubali muziki,Staa Mnigeria rasmi atambulishwa Simba ndani ya Championi Jumatatu.
YANGA mpya tishio Afrika,yawa gumzo kila kona makocha,wachambuzi wakubali muziki,Staa Mnigeria rasmi atambulishwa Simba ndani ya Championi Jumatatu.
KIKOSI cha Azam FC leo Julai 10 kimeweza kumtangaza kocha mpya wa viungo ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23. Anaitwa Mikel Guillen kutoka Hispania ambaye atakuwa ni kocha mpya wa viungo wa Klabu ya Azam FC. Guillen ana uzoefu wa kufundisha timu za Aris Limassol ya Cyprus, inayoshiriki Ligi ya…
MUDA wowote kuanzia sasa huenda Klabu ya Yanga ikamtambulisha beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga rasmi na timu hiyo. Mkongo huyo anajiunga na Yanga akitokea Bravos do Maqui ya Angola. Pia amewahi kucheza GD Interclube ya Angola, AS Vita (DR Congo) na Mouscron (Ubelgiji). Yanga imelazimika kumshusha…
JUMAPILI ya leo Julai 10 ni miaka mitatu kamili imetimia tangu aliyekuwa mwandishi chipukizi wa Gazeti la Spoti Xtra na Championi Ibrahim Mressy afariki dunia. Ilikuwa ni Julai 10,2019 taarifa za kutangulia kwake mbele za haki zilifika katika kituo chake cha kazi Gloal Pulishers,baada ya kuugua ghafla. Mbali na kuandikikia Magazeti ya Championi na Spoti…
KIUNGO wa katikati ya dimba mwenye uwezo mkubwa wa kuhimili mechi za aina zote leo Julai 10,2022 ametambulishwa ndani ya Simba Ni Victor Akpan raia wa Nigeria ambaye alikuwa nyota wa kikosi cha Coastal Union ya Tanga. Hivyo msimu ujao atakuwa ndani ya mabingwa mara nne mfululizo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Simba. Kiungo…
MBWANA Makata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Mbeya Kwanza na meneja wa timu hiyo David Naftari wamepunguziwa ashabu yao ya kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano. Taarifa ambayo imetolewa leo Julai 9,2022 imeweza kueleza kuhusu suala hilo la viongozi hao kupunguziwa adhabu. Awali ilibidi watumikie adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda…
INJINIA Hersi Said kwa sasa ni rais wa kwanza ndani ya Klabu ya Yanga baada ya historia mpya kuandikwa. Wanakuwa ni vingozi wa kwanza ndani ya Yanga aada ya kuingia kwenye mfumo wa mabadiliko na kuongozwa na rais ambapo zamani kiongozi mkubwa alikuwa ni Mwenyekiti. Pia Mwenyekiti wa mwisho ndani ya Yanga yenye maskani yake…
Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii. Tunapozungumzia umuhimu wa…
NYOTA wa kimataifa kutoka Burundi Gael Bigirimana ametambulishwa leo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ni kiungo mshambuliaji Bigirimana ambaye yupo kwenye ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kuwa na Wananchi ambao wameamua jambo lao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa nyota huyu ni zawadi kutoka kwa rais wa…
SIMBA leo Julai 9,2022 imemtambulisha mshambuliaji Habib Kyombo ambaye alikuwa anacheza ndani ya kikosi cha Mbeya Kwanza, unakuwa ni usajili wa kwanza kwa mzawa kuweza kutambulishwa aada ya kukamilisha ule wa Moses Phiri
IKIWA leo Julai 9,2022 siku ya uchaguzi wa Yanga ambao unafanyika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,mgombea pekee wa nafasi ya Urais Injinia Hersi Said amezungumzua vipaumbele vyake. Vipaumbele vyake ni pamoja na:- 1. Miundombinu ya Klabu ya Yanga. a. Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000 – KAUNDA…
NATHANIEL Chilambo nyota aliyekuwa anacheza ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting msimu wa 2022/23 atakuwa ni mali ya Azam FC ambayo itakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa baada ya kumaliza msimu ikiwa nafasi ya tatu. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amesema kuwa bado wataendelea kushusha wachezaji wengine.
HABIB Kyombo nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Mbeya Kwanza leo Julai 9 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyu anakuwa ni mzawa wa kwanza kuweza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho ambacho msimu wa 2021/22 ulikuwa ni mbaya kwao kwa kukosa kila kitu walichokuwa wanapambania. Kombe la Shirikisho, Ngao ya Jamii na lile…
IKIWA leo ni siku ambayo kwa mujibu wa kalenda ya Kamati ya Uchaguzi wa Yanga ni siku ya uchaguzi kwa nafasi ya Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe Watano,katika kampeni zake, Suma Mwaitenda ambaye ni mgombea nafasi ya makamu wa rais amebainisha utofauti wake na mgombea mwenzake ambaye ni Arafat Haji
LEO Jumamosi Julai 9,2022 Yanga itaingia kwenye historia mpya ya kumpata rais ambaye ataiongoza timu hiyo kutoka kwenye mfumo wa kuongozwa na mwenyekiti. Yanga wanatarajia kumpata rais wa timu hiyo watakapokamilisha zoezi la uchaguzi leo Jumamosi. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,Dar. Mbali na kumchagua rais pia Yanga…
MASHINE 6 Simba hadharani, Aziz KI aandaliwa sapraiz Yanga ndani ya Championi Jumamosi