Home Sports HUU HAPA WASIFU WA MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS JANGWANI

HUU HAPA WASIFU WA MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS JANGWANI

JULAI 9,2022 wanachama wa Yanga kupitia wawakilishi wao ambao ni viongozi kutoka kwenye matawi wanatarajia kufanya uchaguzi kwa ajili ya kumpata Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe watano.

Huu hapa ni wasifu wa mgombea nafasi ya Makamu wa Rais ambapo ni Suma Mwaitenda

WASIFU:
(Taaluma na Kazi)
-Mkadiriaji Majenzi (Quantity Surveyor)
-Msimamizi wa Miradi (Project Manager)
-Msuluhishi wa Migogoro (Arbitrator)
-Mhadhiri Msaidizi Chuo Idara ya Uhandisi Chuo Kikuu Ardhi (ARU)
-Mratibu wa Jukwaa la Fursa Tanzania.

(UTUMISHI NGAZI YA TAIFA)
– Makamu wa Rais TIQS
– Mjumbe wa Bodi; TAFSUS, ABECC,
– Mjumbe Kamati ya Bodi, TPSF.
– Mjumbe wa Kamati Mahusiano na Mawasiliano kwa Umma ; AQRB
– Mtendaji Mkuu wa Muda (Interim CEO – Ruge Mutahaba Foundation
– Mwanzilishi – Uhuru Women Club.

(UTUMISHI NA UZOEFU NGAZI YA MICHEZO)
-Mwenyekiti Timu ya Yanga Princess
-Mjumbe Kamati ya Utendaji Yanga
-Mjumbe Kamati ya Olympic Tanzania (TOC)
– Ametumikia kama Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Mjumbe Kamati ya Matawi, Wanachama, Habari na Hamasa (Yanga)
– Katibu Kamati ya Wanawake na Mazingira Olympic Tanzania
-Mjumbe Kamati ya Tamasha la Michezo Wanawake Tanzania
– Mjumbe Kamati ya Fedha na Mipango (Yanga)
– Mjumbe Kamati ya Ujenzi (Yanga)

Previous articleVIDEO:HAJI MANARA ASIMULIA ALICHOONGEA NA RAIS WA TFF
Next articleNAMNA SIMBA ITAKAVYOMREJESHA LUIS