Home Entertainment MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022 HAYA HAPA

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022 HAYA HAPA

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana.

Matokeo kidato cha sita 2022 haya hapa

“Watahiniwa 93,136, sawa na asilimia 98.97 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98. 55 na wavulana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98.55

Previous articlePSG YAMFUTA KAZI POCHETTINO,KOCHA MPYA ATANGAZWA
Next articleKOCHA MSERBIA ALETA MFUMO WA MABAO SIMBA