
MBWANA MAKATA ANATAMBA NDANI YA TATU BORA
MBWANA Makata ni kocha mzawa pekee ambaye yupo ndani ya tatu bora kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Akiwa ndani ya Dodoma Jiji, Makata amekuwa kwenye mwendo bora ambapo mpaka sasa amekuwa akigawa zabibu kwenye mechi zake ambazo wanacheza na wachezaji wake wengi asilimia mia ni wazawa. Kikosi hicho baada ya…