
KILA MCHEZAJI KUCHEZA NDANI YA SIMBA
KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa anataka kuona kila mchezaji wa timu hiyo anapambana kuhakikisha anafanya bidii mazoezini kila anapopewa nafasi kwa kuwa amepanga kumpa kila mchezaji nafasi ya kucheza. Pablo Jumapili aliiongoza Simba kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika…