
SIMBA NA YANGA WAMEVUNA WALICHOKIPANDA
KUSHINDWA kutumia makosa ambayo mpinzani wako anafanya kwenye mpira ni sababu namba moja itakayofanya timu ishindwe kupata matokeo. Na yule ambaye hatafanya makosa ana uhakika mkubwa wa kupata kile ambacho anastahili hivyo ipo wazi kwamba matokeo hayapaswi kubebwa na mashabiki kwenye mifuko yao. Baada ya Kariakoo Dabi kukamilika Uwanja wa Mkapa tumeona baadhi ya mashabiki…