
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
KIBU Dennis, mshambuliaji wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amefunga bao pekee la ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Ulikuwa ni mchezo wa raundi ya tatu na ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Simba 1-0 JKT Tanzania. JKT Tanzania haikuwa na bahati licha kutengeneza nafasi za kutosha katika…
DODOMA Jiji FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata leo Desemba 14 imeibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho. Ilikuwa ni raundi ya tatu ambapo wameweza kushinda mabao 2-0 dhidi ya Pan African ambapo dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa ni sare kwa timu zote mbili. Mchezo huo umechezwa leo Desemba 14,…
LEO Desemba 14 kikosi cha Simba kinatarajia kutupa kete yake mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu. Hiki haoa kikosi cha kwanza:- Beno Kakolanya Israel Mwenda Gadiel Kenenedy Wawa Kanoute Banda Mzamiru Yassin Kibu Dennis Sakho Mhilu Yusuph Akiba Ally Kapombe Inonga Mkude Abdulsamad Duncan Kagere Ajibu Jimy
KLABU YA Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England imemvua unahodha Pierre-Emerick Aubameyang na hatacheza kwenye mechi ya ligi dhidi ya West Ham kesho Jumatano usiku. Raia huyo wa Gabon kwake inakuwa ni majanga kuvuliwa kitambaa hicho pamoja na mwendo wake kuwa wa kusuasua kwa msimu wa 2021/22. “Kufuatia ukiukaji wake wa nidhamu wiki iliyopita, Pierre-Emerick Aubameyang…
KUMEPOA mtaani kama hakuna kilichotokea vile baada ya dakika 90, Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga na kufanya asiwepo mbabe. Hapa tunakuletea vizingiti vilivyosababisha mambo kuwa hivyo namna hii:- Manula Aliokoa hatari dk ya tano shuti la Jesus Moloko pia aliweza kuwa kizingiti kwa Moloko dk ya 49, dk ya 58 aliokoa hatari ya…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba wao kipaumbele chao namba moja ni kazi tu uwanjani ili kupata matokeo chanya na hawana muda wa kushindana na wale wanaoongeaongea. Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa wapo kwenye ligi kwa malengo makubwa ya kuweza kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita na hilo linawezekana. “Sisi hapa kwetu ni kazi…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye hesabu za kumsaka mbadala wa mshambuliaji wao Yacouba Songne ambaye anatarajiwa kuwa nje kwa msimu mzima wa 2021/22. Songne aliumia mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting,Novemba 2,2021 kwa sasa bado anapewa matibabu ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida….
Baadhi ya ligi kuendelea wiki hii. Bundesliga na EPL ndio kumenoga zaidi. Miamba kadhaa kushuka viwanjani kuchuana ndani ya dakika 90. Mambo yapo hivi; Jumanne hii, Dean Smith ataiongoza Norwich City dhidi ya Aston Villa. Smith anawakaribisha Villa ambao ni vijana wake aliowafundisha kwa muda mrefu kabla ya kutimuliwa Villa Park. Aston Villa hii…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walicheza mpira mbele ya Yanga na hawakutumia muda mwingi kupoteza muda kwa kujiangusha ama kulala uwanjani. Ilikuwa ni dabi ya kwanza kwa Franco, Desemba 11, Uwanja wa Mkapa na aliweza kugawana pointi mojamoja na watani zake wa jadi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba leo Desemba 14 wanatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya kombe hilo. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ambayo kwa sasa inaitwa Championship. Mchezo huo…
Reels zinazozidisha ushindi mara 2.000! Wild Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye sloti ya mtandaoni, una reels 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano wa sehemu zilizoganda ukikinzana na milima iliyofunikwa kwa barafu, inakamilisha mandhari ya baridi. Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa mchezo, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi Vivier Bahati, kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi chao kwenye Mshime Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC jana Jumapili (Desemba 12) ikicheza nyumbani Azam Complex Chamazi, iliambulia sare ya bila kufungana dhidi…
BAADA ya kupangwa kisha kufutwa tena kutokana na makosa ya teknolojia leo Desemba 13 hii ndio droo ya mwisho (ya marudio) mechi za 16 Bora Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Bayern v RB Salzburg Manchester City v Sporting Ajax v Benfica Lille v Chelsea Manchester United v Atlético Madrid Juventus v Villarreal Liverpool v Inter…
KIWA ni saa chache baada ya droo ya kupanga michezo ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kufanyika, hatimaye droo hiyo imefutwa na kutangazwa kurudiwa. Hii inakuja baada ya kutokea kwa tatizo la mfumo unaochezesha droo hiyo na baadhi ya vilabu kulalamikia tatizo hilo. Awali tatizo lilianza kuonekana pale ambapo Klabu…
MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…