
YANGA INAONGOZA 3-0 IHEFU DAKIKA 45 KWA MKAPA
UWANJA wa Mkapa mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu mchezo kati ya Yanga v Ihefu FC ni mapumziko. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inaongoza kwa mabao 3-0 na kuwafanya waende vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa vifua mbele. Watupiaji wa Yanga ni Heritier Makambo ambaye ametupia mabao mawili dk ya 5 na…