
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi Vivier Bahati, kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi chao kwenye Mshime Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC jana Jumapili (Desemba 12) ikicheza nyumbani Azam Complex Chamazi, iliambulia sare ya bila kufungana dhidi…
BAADA ya kupangwa kisha kufutwa tena kutokana na makosa ya teknolojia leo Desemba 13 hii ndio droo ya mwisho (ya marudio) mechi za 16 Bora Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Bayern v RB Salzburg Manchester City v Sporting Ajax v Benfica Lille v Chelsea Manchester United v Atlético Madrid Juventus v Villarreal Liverpool v Inter…
KIWA ni saa chache baada ya droo ya kupanga michezo ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kufanyika, hatimaye droo hiyo imefutwa na kutangazwa kurudiwa. Hii inakuja baada ya kutokea kwa tatizo la mfumo unaochezesha droo hiyo na baadhi ya vilabu kulalamikia tatizo hilo. Awali tatizo lilianza kuonekana pale ambapo Klabu…
MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amekosoa mfumo wa kocha mpya wa Simba, Pablo Franco kuwa ni wa tofauti na ule uliokuwa ukitumika na kocha aliyepita Didier Gomes. Nabi amesema kuwa kuna tofauti kubwa ya uchezaji ambao upo ndani ya Simba kwa wakati huu baada ya kupata kocha mpya ambaye ni Franco. “Kuna mabadiliko kwenye…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mikono ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula iliwazuia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi. Juzi, Uwanja wa Mkapa, Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba lakini ubao wa ulisoma Simba 0-0 Yanga na kufanya timu hizo kugawana pointi mojamoja. Nabi amesema…
KIVUMBI kinazidi kuwaka kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo kwa msimu huu mpya wa 2021/22 unaoyesha kwamba sio wa kitoto. Wakati ligi inazidi kupamba moto waamuzi wamekuwa ni wimbo unaoimbwa kila wakati kutokana na maamuzi yao kuwa ya maumivu kwa upande mmoja. Makosa yapo lakini haina maana kwamba yawe yanajirudia mara kwa…
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp anaamini kwamba Steven Gerrard yupo kwenye njia bora zaidi ya kuwa kocha mpya ndani ya kikosi hicho siku za usoni. Gerrard kwa sasa ni kocha wa Aston Villa na wikiendi alikuwa ndani ya Uwanja wa Anfield akiwa na timu ya Aston Villa ambapo walikuwa na mchezo wa Ligi Kuu…
NYOTA wa Azam FC, Prince Dube tayari amerejea kikosi cha kwanza na kuanza kuonyesha makeke yake ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina. Kwenye mchezo wake wa kwanza mbele ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex alishuhudia timu ya Azam FC ikigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar baada ya…
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeweza kuonja ladha ya ushindi kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United. Mchezo huo wa nane kwa Mtibwa Sugar ulichezwa Uwanja wa Manungu, Desemba 12 na Mtibwa Sugar iliweza kushinda kupitia kwa Nzigamasabo Stive…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa ya kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa wanachama wa klabu ya Simba, Ndg Murtaza Mangungu baada ya mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Murtaza Mangungu aliwashutumu TFF na Bodi ya Ligi kuwa waliwaruhusu viongozi wa Yanga kuingia eneo la VVIP bila kadi huku Mkurugenzi Mkuu…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates, Jean Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuvutiwa na timu za Simba na Yanga huku akiweka wazi yupo tayari kujiunga na mojawapo ya timu hizo. Makusu kwa sasa anakipiga DC Motema Pembe ya DR Congo mara baada ya kuwa na maisha magumu ndani ya Orlando Pirates. Akizungumza na Spoti Xtra moja kwa moja kutoka nchini…
IKIWA zimebaki sikutatu kabla dirisha dogo la usajili hapa nchini halijafunguliwa, uongozi wa Yanga umefunguka kuwa katika kuhakikisha wanafanikisha mpango wao wa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, umejipanga kukiongezea nguvu kikosi hicho kwa kushusha majembe mapya, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwa mwamuzi wa mwisho. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kudumu kwa takribani mwezi mmoja. Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawakutumia nafasi ambazo walizitengeneza kwenye mchezo wao dhidi ya Simba. Desemba 11, Uwanja wa Mkapa ulikamilika kwa timu mbili za Simba na Yanga kutoshana nguvu bila kufungana. Nabi ameweka wazi kwamba hakukuwa na timu ambayo ilikuwa na uhakika wa kupata ushindi kwenye mchezo huo kwa kuwa ilikuwa…
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amekiwasha mbele ya kocha mpya wa timu hiyo Ralf Rangnick kwa kufunga bao pekee la ushindi lililoipa timu hiyo pointi tatu. Ikiwa Uwanja wa Carrow Road, Ronaldo alipachika bao hilo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 75 na kufanya ubao usome Norwich City 0-1 Manchester United. Pointi tatu zinaifanya…