
LIGI KUU BARA KUENDELEA MBEYA,PALEPALE SOKOINE
LEO Januari 18 kutakuwa na mchezo mmoja wa Ligi Kuu Bara ambapo Mbeya Kwanza itawakaribisha Azam FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine. Itakuwa ni saa 10:00 jioni, ambapo uwanja huo jana ulitumika kwa Mbeya City kuweza kuitungua Simba bao 1-0 ambalo lilifungwa na Paul Nonga dakika ya 19. Mbeya Kwanza iliyo nafasi ya…