
NENO LA KWANZA LA MRITHI WA MIKOBA YA HAJI MANARA SIMBA
IKIWA ni saa kadhaa kuyeyuka baada ya Ahmed Ally kutanagzwa rasmi kuwa Ofisa Habari wa Simba akichukua mikoba iliyoachwa na Haji Manara ambaye kwa sasa yupo ndani ya Yanga, ameweka wazi malengo ya timu hiyo kuelekea Kombe la Mapinduzi. Simba ina kazi ya kusaka taji la Mapinduzi ambalo lipo mikononi mwa Yanga ambayo ilitwaa mwaka…