
JEMBE JIPYA SIMBA LAANZA MAZOEZI RASMI
NYOTA Sharaff Shiboub tayari ameanza mazoezi rasmi na Klabu ya Simba kwa ajili ya kuweza kumpa nafasi Kocha Mkuu, Pablo Franco kuweza kumfanyia mchujo kama atamfaa. Ikumbukwe kwamba Shiboub aliwahi kucheza Simba msimu wa 2019/20 ambapo Simba iliweza kutwaa taji la Ligi Kuu Bara na Ngao ya Jamii pamoja na Kombe la Shirikisho. Anakumbukwa kwa…