
#LIVE: YANGA SC WANATOA TAMKO MAALUM, MANARA ANAZUNGUMZA MUDA HUU..
UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Januari 05, 2022, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na uamuzi wao wa kuunganisha wanawachama na klabu yao kidigitali.
UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Januari 05, 2022, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na uamuzi wao wa kuunganisha wanawachama na klabu yao kidigitali.
IBRAHIM Ajibu kiungo mpya wa Azam FC ambaye amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo akitokea Klabu ya Simba ameweka wazi sababu za kuondoka Simba.
Ni utamaduni, mwezi Januari huwa na michezo mingi. 2022 ni muendelezo wa burudani kwenye ulimwengu wa soka. Nusu fainali ya Carabao, muendelezo wa Bundesliga na SerieA kuchezwa wiki hii. Pamba mkeka wako kwa Odds hizi; Jumatano hii, Chelsea watarejea uwanjani kuwakabili Tottenham Hot Spurs. The Blues wanaingia uwanjani kuikabili Spurs ambapo hii ni London…
KIUNGO mpya wa Azam FC Ibrahim Ajibu ameanza kazi na uzi huo katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi na alishuhudia timu hiyo ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Meli 4 City. Kipindi cha kwanza timu zote mbili zilishuhudia bao moja pekee lililofungwa na Chilunda dakika ya 13 na lilidumu mpaka dakika ya 45….
MOJA ya sehemu ambayo hukusanya mashabiki wengi wa mpira ni Viwanja vya Bunju Complex ambapo Simba SC na Simba Queens hufanyia mazoezi. Usafiri mkubwa kwa mashabiki ni bodaboda na wakati wa mazoezi mashabiki hupanda mpaka juu ya bajaji kutazama maujuzi ya wachezaji.
CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga. Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu na alikuwa ni kinara ndani ya Mbeya Kwanza. Alikuwa ni mshambuliaji wa kwanza msimu wa 2021/22 kufunga bao la kideo ambalo ni Acrobatic ilikuwa mbele ya Mbeya City katika mchezo…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Yanga leo Januari 4 wamewasili salama visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuanza kazi ya kutetea taji hilo. Yanga ilitwaa taji hilo mwaka 2021 kwa ushindi mbele ya Simba kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 90 kutoshana nguvu ya bila kufungana. Kwenye mchezo huo kikosi cha Simba licha ya…
OFISA Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa mapokezi mazuri waliomuonyesha mara baada ya kutangazwa kuitumikia klabu hiyo jana, Jumatatu, Desemba 4, 2022. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Ahmed Ally ameandika; “Msemaji wa Mabingwa nimeamka salama.Kwa nafasi ambayo nimepewa nasema asante na nimefurahi kuwa hapa kwa kuwa ilikuwa ni ndoto yangu….
GARI jipya la Azam FC ndege inayotembea ni kali kinomanoma na ni moja tu kwa sasa lipo ndani ya ardhi ya Bongo. Mashabiki wanalipenda na wanalifurahia pia kutokana na ubora wake imara na lina muonekano mzuri kinomanoma..
BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amefunguka moja ya malengo yake ni kuhakikisha anatoa pasi nyingi za mabao kuanzia 15 msimu huu ambazo zitawasaidia washambuliaji wa timu hiyo kufunga mabao mengi zaidi. Msimu huu ukiwa ni wa kwanza kwa beki huyo, tayari amefanikiwa kutoa asisti tatu ambapo mbili ni katika Kombe la Shirikisho la Azam, huku moja ndani ya Ligi Kuu Bara na kufunga bao moja. Djuma amesema: “Ni furaha kutoa…
Aliyekuwa mke wa Harmonize @harmonize_tz , @sarah__tz ametokea katika picha zinazoonyesha jezi mpya za Simba ambazo wamezitambulisha Jumatatu, Januari 3, 2022. Sarah ambaye hivi karibuni alionekana kuwa na mmoja wa mameneja wa @diamondplatnumz , @sallam_sk , ametokelezea katika picha hizo akiwa modo wanaotangaza ujio wa jezi ambazo zitatumiwa na Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika…
KLABU ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika dirisha hili. Mshambuliaji huyo ambaye huenda asionekane tena uwanjani akiwa na jezi ya Arsenal amekuwa hayupo kwenye kiwango bora tangu msimu huu uanze na katika siku za hivi karibuni amevuliwa unahodha kutokana na vitendo vyake…
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi katika ripoti yake ameagiza kila nafasi ya mchezaji wa kigeni lazima awepo mbadala wake mzawa mwenye uwezo mkubwa kama wake. Yanga tayari imefanikisha usajili wa wachezaji watatu wazawa katika usajili wao wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ambao unaendelea. Wachezaji hao wapya waliosajiliwa ni Salum…
Kiungo mshambuliaji mpya wa Azam FC, Ibrahim Ajib @ibrahimajibu23, akifanya mazoezi ya kwanza na uzi wa timu hii. Azam FC ipo Unguja, Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, na leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho kabla ya leo Jumanne kumenyana na Meli Nne City kwenye Uwanja wa Amaan saa 2.15 usiku.
ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kupata changamoto mpya pamoja na kuanza kazi kwa mara ya kwanza ikiwa ni muda mfupi baada ya kusajiliwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’, amesema mipango ya Simba kwa sasa ni kutawala soka la Afrika na kutetea ubingwa. Try Again alifunguka kuwa timu hiyo kwa sasa ina mwenendo mzuri baada ya mechi chache na mambo yanavyokwenda atakuja kuonekana mrithi sahihi wa Luis Miquissone kutokana na kuimarika kwa…