>

VIDEO:EXCLUSIVE:KIPA MPYA WA YANGA AFUNGUKIA DILI LAKE LILIVYOJIBU

ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kupata changamoto mpya pamoja na kuanza kazi kwa mara ya kwanza ikiwa ni muda mfupi baada ya kusajiliwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.