Home Sports SARAH WA HARMONIZE ATOKELEZEA NA JEZI YA SIMBA

SARAH WA HARMONIZE ATOKELEZEA NA JEZI YA SIMBA

Aliyekuwa mke wa Harmonize @harmonize_tz , @sarah__tz ametokea katika picha zinazoonyesha jezi mpya za Simba ambazo wamezitambulisha Jumatatu, Januari 3, 2022.

Sarah ambaye hivi karibuni alionekana kuwa na mmoja wa mameneja wa @diamondplatnumz , @sallam_sk , ametokelezea katika picha hizo akiwa modo wanaotangaza ujio wa jezi ambazo zitatumiwa na Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika na Kombe la Mapinduzi.

Previous articleAUBA AINGIA ANGA ZA NEWCASTLE UNITED
Next articleNYOTA YANGA ATAKA PASI 15 ZA MABAO