Home Sports VIDEO:HII NI NDEGE INAYOTEMBEA ARDHINI,CHEKI ILIVYO Sports VIDEO:HII NI NDEGE INAYOTEMBEA ARDHINI,CHEKI ILIVYO January 4, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp GARI jipya la Azam FC ndege inayotembea ni kali kinomanoma na ni moja tu kwa sasa lipo ndani ya ardhi ya Bongo. Mashabiki wanalipenda na wanalifurahia pia kutokana na ubora wake imara na lina muonekano mzuri kinomanoma..