
ADHABU ZATOLEWA NA BODI YA LIGI
ADHABU zimetolewa na Bodi ya Ligi Tanzania namna hii ambapo Yanga pia wamepigwa faini
ADHABU zimetolewa na Bodi ya Ligi Tanzania namna hii ambapo Yanga pia wamepigwa faini
KIUNGO Ibrahim Ajibu ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC kuna uwezekano asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu muhimu ambapo kwa upande wa Azam FC, Idd Aboubakhari, Kocha wa Makipa wa Azam FC amesema kuwa wanatambua Simba ni…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anawaheshimu wapinzani wake Azam FC ambao atakutana nao Uwanja wa Mkapa leo Januari Mosi, 2022 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Huu ni mchezo wa kwanza kwa vigogo hawa kukutana msimu wa 2021/22 na unapigwa siku ya kwanza ya mwaka 2022. Akizungumza mbele ya Waandishi wa…
AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa RS Berkane, Clatous Chama, zimeisha namna hii, baada ya kuvuja kwa siri ya kwamba tayari Simba imemalizana na mchezaji huyo na tayari wamemrejesha nyumbani kwao Lusaka, Zambia. Takriban miezi mitatu sasa, gumzo la jiji ni juu ya usajili wa Chama,…
LEO Januari Mosi, 2022 ikiwa ni ‘Happy New Year’ unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa. Pande zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu ambapo nahodha wa Azam FC, Sospeter Bajana amesema kuwa mchezo wa soka ni mchezo wa kiume. Kwa upande wa nahodha wa…
AISHI Manula, Ally Salim, Beno Kakolanya makipa hawa wa Simba wamekuwa wakifundishwa na kocha wao mpya ambaye ameshaanza kazi ndani ya Simba na leo mmoja kati yao atakuwa na kibarua cha kufanya katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.
Mwaka 2022 unaanza kwa michezo ya kukata na shoka kunako mchezo wa soka. EPL katika ubora wake wikiendi hii. Anza mwaka mpya kwa kutandaza jamvi lako na Meridianbet, mkeka wako wa faida ni huu; Emirate Stadium itafungua burudani ya mwaka mpya kwa mchezo wa Arsenal vs Man City. Mchezo wa mwisho timu hizi kukutana kwenye…
Ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi, Happy New Year
YANGA imeshinda mabao 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Huu ni mchezo wa kufunga mwaka 2021 ambapo Yanga imefunga kwa aina yake kwa kupata ushindi mkubwa wa mabao zaidi matatu. Yanga walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele dakika ya 41….
UWANJA wa Mkapa, Desemba 31, mchezo wa Ligi Kuu Bara dakika 45 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0Dodoma Jiji. Mtupiaji wa bao ni Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo akiwa ndani ya 18. Ilikuwa ni dakika ya 41 bao hilo ameweza kulioachika kwenye mchezo wa leo ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Yanga wameweza kumiliki mpira kwa…
KIKOSI cha Dodoma Jiji leo Desemba 31,2021 leo Uwanja wa Mkapa.
Kikosi ca Yanga dhidi ya Dodoma Jiji FC, Aboutwalib Mshery moja kwa moja anaingia kikosi cha kwanza baada ya kusaini dili la miaka miwili.
NYOTA wa Biashara United, Denis Nkane na Yanga kwa sasa unaweza kusema kilichobaki ni suala la muda tu kutambulishwa. Jana alikuwa na kazi ya kupambania timu yake ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC na waliweza kugawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo huo ni yeye aliweza kufunga bao la pili…
NYOTA wa zamani wa Newcastle Utd, Alan Shearer amesema anaamini wachezaji wa Arsenal wamekubaliana na maamuzi ya kocha wao Mikel Arteta kuhusu kumvua unahodha Pierre Emerick Aubameyang pamoja na kumtoa kwenye mipango yake kwasasa. “Ilikuwa uamuzi mkubwa na wa kijasiri kutoka kwa Arteta kufanya kile alichokifanya kwa sababu Aubameyang ni nahodha na mshahara ambao analipwa…
KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Hemed Morocco kuomba kujiweka kando kuinoa timu hiyo kutokana na mwendo ambao haukuwa mzuri kwenye mechi za ligi kwa msimu huu. Namungo imemtambulisha Hanour…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao wa kesho Januari Mosi 2022 wanatarajia kupata upinzani mkubwa. Aidha Pablo amebainisha kwamba ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni ushindi kwa kuwa maandalizi yameanza kwa muda mrefu na wachezaji wanatambua kwamba…
WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana na kasi yao ya kutupia kwa Fiston Mayele wa Yanga na Meddie Kagere wa Simba kuzidi kuwa kubwa. Mfalme kwenye suala la kutupia kwa msimu uliopita ni nahodha wa Simba, John…