
LUKAKU AMFANYA TUCHEL AGOMEE MASWALI
KOCHA Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel juzi alikataa kujibu maswali ambayo yalikuwa yanamhusu staa wa timu hiyo Romelu Lukaku akisema sio tatizo ndani ya timu hiyo. Tuchel ameweka wazi kwamba timu hiyo inapitia wakati mgumu kwa sasa na wachezaji wake wengi wametoka kwenye majeruhi. Chelsea juzi ilishindwa kutamba kwa mara nyingine na kuambulia sare ya…