
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne jipatie ñakala yako 500 tu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne jipatie ñakala yako 500 tu
UWANJA wa Sokoine, Mbeya City wameinyoosha Simba kwa bao 1-0 lililopachikwa na Paul Nonga mapema kipindi cha kwanza. Haikuwa rahisi kwa Simba kuweza kumtungua kipa namba moja wa Mbeya City, Deogratius Munish ambaye alikuwa kwenye ubora wake mwanzo mwisho. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu…
MPAKA muda wa mapumziko, Uwanja wa Sokoine Simba wanatafuta bao la kusawazisha. Ni Paul Nonga amepachika bao la kuongoza kwa Mbeya City akitumia makosa ya mabeki wa Simba chini ya Inonga Banka. Lakinj Mbeya City wamekamilisha dakika 45 wakiwa pungufu kwa sababu nyota wao Mpoki Mwakinyuke alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 43. Sababu ya kwanza…
Kikosi cha Simba kinachonolewa na Pablo Franco kitakachoanza dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine.
LEO Januari 17 imepangwa droo ya Azam Sports Federation Cup, (ASFC) ikiwa ni hatua ya 32 bora kwenye mashindano haya. Simba ambao ni mabingwa watetezi waakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Dar City kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Yanga wao watacheza na Mbao FC mchezo huo nao utachezwa pia Uwanja wa…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa isingekuwa rahisi kwa Yanga kufungwa kwenye mchezo wao wa jana kwa kuwa walijipanga kushinda na walitumia muda mwingi wakiwa Tanga. Januari 16 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga na kuwafanua waweze kusepa na pointi tatu mazima ambapo mabao yalifungwa na Said Ntibanzokiza…
KIUNGO Mnigeria, Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki moja. Udoh akiwa kwenye majaribio hayo, alifanikiwa kucheza mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lakini ameshindwa kumshawishi Kocha Pablo Franco. kiungo huyo mkabaji, amesema licha ya kutarajia kupewa mkataba na timu hiyo, lakini hajafanikiwa na kwa sasa kitu ambacho anatarajia ni mipango ya safari yake kutoka Tanzania kurudi kwao Nigeria. “Maisha ya Tanzania ni mazuri na…
ANTHONY Martial, mshambuliaji wa Manchester United amekanusha madai ya Kocha Mkuu Ralf Rangnick kwamba hakutaka kuwa sehemu ya kikosi kilichotoka sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Aston Villa. Martial anataka kuondoka ndani ya Manchester United na timu unayotajwa kuisaka saini yake ni Sevilla ambayo inahitaji kupata huduma yake. Katika Uwanja wa Villa Park, United…
YANGA imesepa na pointi zote tatu mazima mbele ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Ni mabao ya Fiston Mayele dakika ya 40 na lile la pili ni Said Ntibanzokiza ambaye alipachika bao hilo dakika ya 89. Nyota wa Coastal Union waliweza kwenda mapumziko wakiwa wameokota bao moja…
UWANJA wa Mkwakwani Januari 16 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Yanga ni mapumziko. Yanga inakwenda vyumbani ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 katika dakika 45 za mwanzo. Ni bao la Fiston Mayele anamtungua Mussa Mbissa dakika ya 40 akiwa ndani ya 18. Coastal Union wanacheza mpira huku Yanga wakiwa katika mbinu…
CLATOUS Chama, nyota wa Simba amesema kuwa ni furaha kwame kurejea ndani ya timu hiyo. Chama aliibuka ndani ya RS Berkane msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba na amerejea tena nyumbani. Ni usajili wa kwanza katika dirisha dogo na anatarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kesho kitakachomenyana na Mbeya City Uwanja wa Sokoine. Nyota huyo…
MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa leo Januari 16 ametambulishwa ndani ya Yanga. Nienov anakwenda kuchukua mikoba ya Razack Siwa ambaye anainoa timu hiyo kwa sasa. Kocha huyo raia wa Brazil aliweka wazi kuwa anaipenda Tanzania kutokana na ukarimu pamoja na mazingira mazuri. Alikuwa akimnoa Aishi Manula na sasa…
Chico Ushindi ni Mwananchi baada ya kutambulishwa rasmi leo kuwa ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo mshambuliaji alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe. Ametambulishwa rasmi leo Januari 16,2022 ambapo timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Anaungana na wachezaji wengine ambao ni Salim Aboubakhari, Aboutwalib Mshery na Dennis…
LEO Januari 16 Yanga ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Coastal Union na hiki hapa ni kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza:- Mshery Djuma Yassin Dickson Job Mwamnyeto Bangala Aucho Jesus Ntibanzokiza Feisal Mayele Akiba Johora Paul Bryson Mauya Kaseke Ambundo Farid Mussa Salum Makambo
UKISIKIA watu wanakwambia Simba wamefanya kufuru, basi amini kwamba ufanikishaji wa kuipata saini ya kiungoMzambia, Clatous Chama imetumika gharama kubwa sana. Chama ambaye amerejea Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili, aliondoka kikosini hapo Agosti 2021, baada ya kuisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2018/19 hadi 2020/21na kutua RS Berkane ya Morocco. Pia Chama alikuwepo kwenye kikosi cha Simba kilichocheza hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
WAKATI dirisha dogo la usajili hapa nchini likifungwa usiku wa kuamkia leo Jumapili, kulikuwa na mchuano mkali kwa timu za Simba na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania, Simon Msuva. Msuva aliondoka Yanga, Julai 29, 2017, akiwa ameisaidia kuvuna mataji matatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara na kutua Difaa El Jadida ya Morocco, kisha Novemba 10, 2020, akajiunga na Wydad. Habari zimeeleza kwamba,…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili