
ABDI BANDA NYOTA WA MTIBWA SUGAR AOMBA RADHI
BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa Simba. Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba, baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex Jumamosi Januari 22 na timu hizo kwenda sare ya 0-0. Beki huyo ambaye amewahi kucheza soka…