NAMUNGO YATAJA KILICHOWAPONZA MBELE YA SIMBA KWA MKAPA
HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kilichowaponza kupoteza pointi tatu mbele ya Simba ni umakini mdogo kwa wachezaji wake mwisho baada ya kuamini kwamba kazi imeisha. Katika mchezo wa tano wa timu hizo mbili, ulipigwa mpira mkubwa Uwanja wa Mkapa na mpaka dakika ya 90 ngoma ilikuwa ni nzito kwa timu zote…