
LEEDS UNITED WAPINDUA MEZA MBELE YA WOLVES
ILIKUWA ni bonge moja ya mechi na upinduaji meza wa kipekee baada ya Leeds United kuwa nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers. Mabao ya Jonny Otto dk 26 na Francisco Machado Trincao dk 45+11 yaliwapa uongozi kwa muda Wolverhampton na baada ya Raul Jimenez kuonyeshwa kadi nyekundu dk 53 meza iliweza kuanza kupinduliwa….