
VIDEO:YANGA WATAJA KIASI WALICHOPATA,WAMSHUKURU RAIS
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ametaja kiasi ambacho walikipata kwenye mchezo wa hisani ambao ulichezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma Yanga 1-1 Timu ya Taifa ya Somalia.
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ametaja kiasi ambacho walikipata kwenye mchezo wa hisani ambao ulichezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma Yanga 1-1 Timu ya Taifa ya Somalia.
UNAKUMBUKA dirisha dogo la usajili ambalo lilifungwa rasmi Januari 15, mwaka huu. Majina kama Chiko Ushindi na Clatous Chama yaliimbwa kweli. Baada ya tambo za usajili kumalizika kwa sasa tayari idadi kubwa ya majembe hayo mapya yameanza kupiga kazi katika vituo vyao vipya vya kazi, ambapo wapo walioanza kuuwasha moto huku wengine wakiwa wanaendelea kusubiri…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
PAPE Sakho kiungo mshambuliaji wa Simba bao alilowatungua RS Berkane limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho. Pape alipachika bao hilo Uwanja wa Mkapa, Machi 13 wakati Simba ikivuna pointi tatu mazima. Ilikuwa dakika ya 44 Sakho alifanya hivyo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Meddie Kagere. Kabla ya kufunga…
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unemalizwa ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza baada ya mabao matatu kufungwa. Namungo FC walianza kutupia bao la kuongoza dakika ya 2 kupitia kwa Mohamed Issa likasawazishwa na Prince Dube dk ya 22….
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ametaja majina ya wachezaji ambao watakuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kwa ajili ya mechi za kirafiki zilizo kwenye Kalenda ya FIFA. Hivi ndivyo ambavyo aliweza kuwataja nyota hao Machi 15,2022.
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupitia mchezo wa Hisani kati ya Yanga v Timu ya Taifa ya Somalia ni milioni 41 zimekusanywa. Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki wa hisani ilikuwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Somalia ulichezwa Uwanja wa Azam Complex. Manara amesema:”Mchezo uliochezwa Jumamosi iliyopita kwa ajili ya kuchangia taasisi…
SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons amesema kuwa bado wanatengeneza timu hivyo wana imani ya kuweza kufanya vizuri kwenye mechi zao zilizobaki. Ikiwa Uwanja wa Karume, Mara Machi 15,2022 ilikubali kushuhudia ubao ukisoma Biashara United 2-1 Tanzania Prisons. Ni mabao ya Deogratius Mafie kwa upande wa Biashara United yalipachikwa kimiani dakika ya 26 na…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco wameanza mazoezi ili kuweza kujiweka sawa kwa mechi zijazo za Ligi Kuu Bara pamoja na zile za kimataifa. Machi 13,2022 Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Simba 1-0 RS Berkane na kuwafanya Simba kubaki na pointi tatu…
SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga ameweka wazi kwamba mchakato wa kuelekea kwenye mabadiliko ndani ya timu hiyo unaendelea vizuri na ambacho kipo kwa sasa ni kuweza kukamilisha suala zima la uchaguzi. Pia amebainisha kuwa jambo ambalo linatazamwa kwa ukaribu kabla ya uchaguzi ni kukamilika kwa usajili wa matawi na wale ambao watakamilisha…
MACHI 16,2022 leo kikosi cha Namungo FC kitawakaribisha Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni ukisubiriwa kwa shauku na mashabiki wa timu zote hizo kubwa Bongo. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Azam…
RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walishindwa kutumia vizuri nafasi ambazo walizipata kipindi cha kwanza jambo ambalo liliwafanya wapoteze mchezo wao. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Old Trafford ulisoma Manchester United 0-1 Atletico Madrid. Matokeo hayo yanaiondoa mazima United katika UEFA Champions League kwa jumla ya mabao 1-2 ambayo…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
NYOTA wa kikosi cha Yanga Princes, Aisha Khamis Masaka amepata dili la kucheza soka la kulipwa katika Klabu ya BK Hacken FF ya nchini Sweden. Nyota huyo ni miongoni mwa mastaa ambao walikuwa wakifanya vema kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania na alikuwa anaitwa Asha Magoli kutokana na uwezo wake wa kucheka na nyavu. Taarifa rasmi…
MACHI 15,2022 leo Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ameita wachezaji ambao watakaoingia kambini kwa ajili ya mechi za kirafiki zilizo kwenye kalnda ya FIFA. Kwa upande wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ni wachezaji 7 wameitwa ambao ni pamoja na kipa namba moja wa Simba Aishi…
JUMLA ya washindi Wawili kutoka Vodacom na Airtel leo Jumanne asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya Shilingi Milioni Moja kila mmoja katika droo ya kwanza ya wiki ya Bet Bonanza ya Sportpesa huku akiwataja washindi hao ni Seif Ramdshani wa Shinyanga na Nyange kutoka Tabata. Droo hiyo ni sehemu ya promosheni ya Bet Bonanza ya…
CHRISTIAN Ericksen amejumuishwa katika orodha ya kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambao watacheza mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya Netherlands Machi 26. Pia atakuwa katika kikosi ambacho kinatarajiwa kucheza dhidi ya Serbia wakiwa nyumbani Machi 29,2022. Kiungo huyo wa Brentford amerejeshwa kikosini mara ya kwanza tangu alipopata tatizo katika Euro 2022 katika…