
ZILITEMBEZWA KADI ZA NJANO KWA MKAPA,CHEKI ILIVYOKUWA
WAKATI ukurasa ukifungwa kwa Yanga kuimaliza KMC Uwanja wa Mkapa ulipigwa mpira wa darasani huku wachezaji wakitembezeana mikasi ya kishkaji katika msako wa pointi hizo. Ubao ulisoma Yanga 2-0 KMC ilikuwa ni Machi 19 na waliofanya iwe hivyo ni Matheo Anthon dk ya 39 kwa bao la kujifunga na Djuma Shaban ilikuwa dk ya 51….