SIMBA YAIVUTIA KASI YANGA ZAMBIA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwakutanisha mabingwa watetezi Simba pamoja na Yanga, Desemba 11, mbinu za Pablo Franco zimeanza kutumika nchini Zambia. Simba ilikuwa huko kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Jumapili ya Desemba 5 na baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Heroes ulisoma Red Arrows…