NYOTA HAWA WATAPEWA MAJUKUMU YA MIPIRA ILIYOKUFA
FUKUTO kwenye vichwa vya mashabiki wa soka Bongo linahesabu saa tu kwa sasa kabla ya Desemba 11,2021 kuwadia na kushuhudia Kariakoo Dabi. Itakuwa ni Simba v Yanga, Uwanja wa Mkapa ambapo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwenye ligi kwa msimu huu na kuna wachezaji ambao wao wanasubiri kutimiza majukumu yao ya kutumia mipira ile iliyokufa…