
KUMBE NI KAWAIDA YA WATU WA AFRIKA KUSINI KULALAMIKA
ANAANDIKA Saleh Jembe Ukimsikiliza kocha huyu wa Orlando Pirates, unaweza kusikitika sana na leo unaona ndiye amekuwa gumzo kwa kuwa sisi Watanzania ni wepesi kuamini ya kuambiwa kuliko tunayoona. Kawaida ya watu wa Afrika Kusini ni kulalamika kila jambo hata kama hawana uthibitisho. mfano, kocha huyu analalamikia VAR haikufanya kazi, tena anawalalamikia Simba na sisi…