
VIDEO:UTAPENDA!AFANDE AMPA KAZI MAALUMU MAYELE
AFANDE huyu ashindwa kujizuia ampa kazi maalumu Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga kuhusu kuendelea kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara.
AFANDE huyu ashindwa kujizuia ampa kazi maalumu Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga kuhusu kuendelea kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara.
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kuwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Orlando Pirates itashinda mabao manne kwa sababu wanajua kucheza mechi zao. Simba Aprili 17,2022 itakuwa na mchezo dhidi ya Orlando Pirates ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayomfanya kushindwa kuonesha ubora ambao Wanayanga wana uhitaji. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu akitokea TP Mazembe, majeraha makubwa yanayomsumbua ni kupata maumivu ya nyama za paja. Hivi karibuni,…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates, Aprili 17,2022 kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Haya hapa ni mazoezi ya nyota wa Simba kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
MSHINDI wa droo ya mwsiho na kubwa ya Bet Bonanza ya SportPesa George Jafari Kimaro, jana asubuhi alifika katika Ofisi za SportPesa kujitambulisha rasmi na pia kuzungumza nasi kuhusiana na ushindi wake huo na kutuelezea machache kumhusu yeye. Akiongea ndani ya Ofisi za SportPesa George anasema,wakati anapokea simu ambayo ilimtaarifu kuhusiana na ushindi wake alikuwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…
MANCHESTER City inayonolewa na Kocha Mkuu,Pep Guardiola inatinga hatua ya nusu fainali baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Atletico Madrid. City inakata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League ikiwa katika Uwanja wa Wanda Metropolitan kwa jumla ya bao 1-0 . Manchester City beki wao John Stones amesema…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa anajua kwamba wapinzani wake watakuwa wanasherehekea sare waliyopata katika mchezo wa UEFA Champions League. Ilikuwa ni hatua ya robo fainali ya pili na ubao wa Uwanja wa Anfield ulisoma Liverpool 3-3 Benfica na sare hiyo iliwapa nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa jumla ya mabao…
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa nguvu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga. Bumbuli…
WAKATI kesho Ijumaa michuano ya fainali ya Ligi Daraja la Kwanza hatua ya nane bora ikitarajia kuanza kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza, Kocha Mkuu wa Alliance FC, Ibrahim Makeresa amesema kikosi chake kipo tayari kwa kazi. Kocha huyo amesema kuwa kila mchezaji yupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi za hatua ya 8…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hautakuwa daraja kwa wapinzani wao,Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wanatarajia kuwa wenyeji wa Orlando Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar na baada ya hapo watarudiana Aprili 24, huko Sauzi Ahmed Ally, Meneja wa Kitengo cha Habari…
MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamboni, Dar es Salaam. Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha…
IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Mayele alikuwa kwenye hesabu za mabingwa watetezi Simba. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga na amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kucheka na nyavu huku akikubalika na mashabiki wengi ikiwa ni pamoja na wale wa Simba. Mtindo wake wa kutetema umekuwa…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za mechi ambazo awali zilikuwa hazijapangiwa tarehe zake na imeweka wazi kwamba itaendelea kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyoanza lakini hazikupangiwa tarehe. Ratiba ipo hivi:- Aprili 23,2022 Yanga v Namungo FC, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku Mei 5,2022 Biashara United v Dodoma…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
DUNIA iliibatiza Afrika na nchi zake kuwa sehemu ya dunia ya tatu,ikiamini kuwa ni dunia ambayo maisha ya mwanadamu wa kawaida yapo kwenye changamoto lukuki zinazofanya ndoto nyingi za vijana wa bara hili kuishia njiani au kutimiza kwa shida mno. Waafrika hupitia njia nyingi sana za shida, vikwazo vya kila aina katika kutimiza ndoto zao….