POLISI TANZANIA NA MBEYA KWANZA HAKUNA MBABE

POLISI Tanzania kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza jana Aprili 16 walitoshana nguvu na Mbeya Kwanza. Ni sare ya kufungana bao 1-1 iliweza kupatikana baada ya dk 90 kukamilika Uwanja wa Ushirika,Moshi. Langoni alianza Metacha Mnata ambaye aliokota bao moja na kwa upande wa ushambuliaji ni Daruwesh Salioko na Kassim…

Read More

SIMBA:TUNAWAFUNGA ORLANDO PIRATES KWA MKAPA

MWINA Kaduguda,Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba amesema kuwa watawafunga Orlando Pirates kwenye mchezo wao wa leo ili waweze kufanikisha lengo la kutinga hatua ya nusu fainali. Leo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. , Kaduguda amesema kuwa ana…

Read More

TANZANIA YANUKIA KOMBE LA DUNIA

USHINDI wa mabao 4-0 walioupata Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 mbele ya Burundi umeiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kufuzu Kombe la Dunia linalotarajiwa kufanyika nchini India. Ni mabao ya Clara Luvanda aliyetupia mabao mawili huku Neema Paul na Husna Ayoub wakitupia bao mojamoja iliamsha shangwe kwenye mchezo huo…

Read More

YANGA HAWANA HOFU NA KIGOMA

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Mara ya mwisho Yanga kucheza Uwanja wa Lake Tanganyika ilikuwa ni Julai 25,2021 ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba,FA. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa wamepata barua kuhusu…

Read More

KANOUNTE,ONYANGO KUIKOSA ORLANDO PIRATES KWA MKAPA

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute kesho Aprili 17 anatarajiwa kuwakosa wapinzani wao Orlando Pirates kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho. Sababu kubwa ya kiungo huyo mwenye bao moja kwenye hatua za makundi kuwakosa wapinzani hao ni mkusanyiko wa kadi tatu za njano ambazo alipata kwenye…

Read More

LUSAJO BADO HAJAFUNGA KITAMBO KWELI

RELLIATS Lusajo ni mtupiaji namba moja ndani ya kikosi cha Namungo FC na aliwahi kuwa namba moja ndani ya ligi alipofikisha jumla ya mabao 10. Mara ya mwisho Lusajo kufunga ilikuwa ni Februari 25,2022 Uwanja wa Nyankumbu mbele ya Geita Gold ambapo alifunga bao lake la 10. Mamo bado hayajajibu kwake muda huu kwenye upande…

Read More

NJOMBE MJI WAANZA NA KICHAPO 8 BORA

WIDDEN Daphet, Kocha wa Njombe Mji amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata jana katika mchezo wa hatua ya 8 bora. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa kundi A katika fainali za First League huko Mwanza. Daphet amesema:”Tulishindwa kupata ushindi kwa kuwa hatukutumia nafasi ambazo tulizipata kwenye mchezo wetu. “Lakini bado tuna nafasi katika…

Read More

BIGIRIMANA WA RWANDA AINGIA ANGA ZA YANGA

BIGIRIMANA Obed kiungo wa Klabu ya Kiyovu ya Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nai raia wa Tunisia. Hesabu kubwa kwa sasa ndani ya vinara hao wa ligi msimu wa 2021/22 ni kuweza kusuka kikosi makini ambacho kitafanya vizuri kwenye mechi za kimataifa. Kwenye msimamo Yanga ina pointi 51…

Read More

KOCHA NABI AIGOMEA SIMBA,HESABU KWA NAMUNGO

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na badala yake kuhamisha akili zao dhidi ya Namungo FC. Yanga kabla ya kuvaana dhidi ya Simba Aprili 30, mwaka huu katika Dabi ya Kariakoo  watacheza dhidi ya Namungo Aprili 24, katika mchezo wa ligi kwenye…

Read More

SIMBA YAWEKEZA NGUVU KIMATAIFA,KUHUSU YANGA BADO

UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates, na siyo kwa Yanga SC. Simba hivi sasa wapo kambini wakijiandaa kupambana na Orlando, mchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Aprili 24, Afrika Kusini….

Read More