KOCHA ORLANDO PIRATES AGOMEA USHINDI WA SIMBA

KOCHA wa Orlando Pirates, Mandla Ncikazi amesema Simba imewahujumu kwenye mchezo wao wa kimataifa waliocheza jana Uwanja wa Mkapa. Baada ya dk 90, ubao ulisoma Simba 1-0 Orlando kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza uliokuwa na ushindani mkubwa. Kocha huyo amesema:”Kama wameshinda basi kwa penalti ambayo naona kwamba sio sawa kwani walileta…

Read More

U 17 WAMEANZA MWENDO,WAUNGWE MKONO

HATUA moja kila wakati tunaona kwa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 kwa namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mechi za kuwania Kufuzu Tiketi ya Kombe la Dunia. Pongezi kwa Serengeti Girls baada ya kuweza kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Burundi mchezo uliochezwa Uwanja wa Urukundo,Ngozi nchini Burundi. Haukuwa mchezo mwepesi…

Read More

KAGERA SUGAR YAGAWANA POINTI NA KMC,KAITABA

KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Aprili 17 milango ilikuwa migumu kwa timu zote mbili. Baada ya dk 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 0-0 KMC. Matokeo hayo yanaifanya Kagera Sugar kufikisha pointi 26 nafasi ya 5 baada ya kucheza jumla ya mechi 20. KMC inafikisha pointi 24…

Read More

BEACH SOCCER YAPAMBA MOTO

MICHUANO ya Tanzania Football Federation Beach Soccer Super League, imeendelea kulindima jioni ya leo katika eneo la Coco Beach, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo Jumla ya timu Sita zimeshuka Dimbani. Mchezo wa kwanza ambao ulianza saa 9:00, ulikuwa ni Dhidi ya Savana Boys ya Yombo Makangarawe na PCM Sports Club ya Buza, mchezo ambao…

Read More

KIMATAIFA MAMBO BADO UWANJA WA MKAPA

MAMBO ni magumu Uwanja wa Mkapa dk 45 za kipindi cha kwanza mchezo wa Kombe la Shirikisho. Simba 0-0 Orlando Pirates na asilimia ni 59 kwa umiliki wa mpira mwa Simba na Pirates ni asilimia 41. Ni kona 4 Simba wamepiga huku Orlando Pirates wao wakipiga kona moja ndani ya dk 45 za kipindi cha…

Read More

MORISSON,MUGALU,BANDA WAANZA MBELE YA ORLANDO

LEO Aprili 17 2022, Uwanja wa Mkapa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho ambao ni Simba wanatarajiwa kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku itakuwa namna hii:- Aishi Manula Shomari Kapombe Zimbwe Jr Henock Inonga Pascal Wawa Jonas Mkude…

Read More

MANCHESTER UNITED NDANI YA TANO BORA

RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United ameshuhudia kikosi chake kikisepa na pointi tatu mazima mbele ya Norwich City. Ni mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford huku Cristiano Ronaldo akipachika mabao yote matatu na kusepa na mpira wake. Ilikuwa dk ya 7,32 na 76 hayo yalitosha kuwapa furaha United ambayo bado…

Read More

MBADALA WA KANOUTE NA ONYANGO NI HAWA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni Sadio Kanoute na Joash Onyango hawa wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Orlando Pirates,Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanaamini wachezaji hao ni muhimu lakini hakuna namna watawakosa ila wapo wachezaji wengine watakaocheza. “Tutamkosa Sadio kwa kuwa huyu ana…

Read More

YANGA WAITAJA TIMU WATAKAYOSHANGILIA UWANJA WA MKAPA

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli wakati Simba leo wakitarajiwa kuwa wenyeji wa Orlando Pirates katika mchezo wa robo fainali ya Kombe…

Read More

PAN AFRICAN,GWAMBINA KUNANI HUKO WAUNGWANA?

KUNANI pale ndani ya Pan African moja ya timu yenye historia kwenye ulimwengu wa mpira ila ghafla kwa sasa mambo yanaonekana kwenda tofauti. Tunaona kwamba kwenye mzunguko wa pili upepo umebadilika kwa mabingwa hawa wa ligi mwaka 1982 bado hawajawa kwenye mwendo mzuri. Kocha aliyekuwa akiwafundisha hivi karibuni tulipewa taarifa kwamba ameshachimbishwa kisha akafuata kipa…

Read More

MASTAA SIMBA WAPEWA ONYO KISA VAR

KUFUATIA kutumika kwa mara ya kwanza mfumo wa video wa kumsaidia mwamuzi (VAR) hapa Tanzania katika mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya Orlando Pirates, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amewaonya mastaa wake akiwemo Bernard Morrison kuhakikisha hawafanyi makosa ya kumtegea mwamuzi. Simba leo Jumapili majira ya saa 1:00 usiku, watashuka Uwanja wa Mkapa,…

Read More

MZAMBIA AITAKA NAMBA YA YACOUBA YANGA

MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10 katika timu mpya atayojiunga nayo kutokana na kuamini kuwa ni namba ya bahati kwake. Katika klabu ya Yanga jezi namba 10 imekuwa ikivaliwa na Yacouba Songne ambaye alikabidhiwa jezi hiyo tangu alipowasili akitokea Burkina Faso….

Read More

KOCHA MTUNISIA AITABIRIA MAKUBWA SIMBA KIMATAIFA

ADEL Zraine, raia wa Tunissia ambaye ni mtaalamu wa masuala ya viungo amesema kuwa Klabu ya Simba itafika mbali kwenye mechi za kimataifa. Kwa sasa Simba ipo hatua ya robo fainali ambapo inatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza Aprili 17 dhidi ya Orlando Pirates, Uwanja wa Mkapa.  Zraine ambaye aliwahi kuwa kocha ndani ya Simba…

Read More