
JUVENTUS YAMVUTIA KASI POGBA
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester UnitedPaul Pogba inatajwa kwamba anaweza kujiunga na Juventus ambayo imemuwekea mkwanja mrefu kupata saini yake. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kumeguka ndani ya Manchester United mwisho wa msimu huu na hana mpango wa kuongeza dili jipya kwa kuwa tayari ameshawaaga maosi wake. Alijiunga na United akitokea Klabu ya Juventus na ametoa…