KICHAPO CHA LIVERPOOL CHAMUIBUA KLOPP

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hajapendezwa na matokeo ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa mbele ya Leicester City. Usiku wa kuamkia leo Desemba 29 ubao wa Uwanja wa King Power ulisoma Leicester City 1-0 Liverpool. Bao la Ademola Lookman dakika ya 59 lilitosha kuwapa pointi tatu mazima. Licha ya Liverpool kupiga jumla…

Read More

SIMBA YATAKA KUSEPA NA MAKOMBE YAO

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwa ni kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana na wachezaji walionao kujituma. Kwa sasa Simba inapambana kuweza kutetea taji lake ililotwaa msimu uliopita wakivutana kwa kasi na vinara wa ligi ambao ni Yanga wenye pointi 26 huku Simba wakiwa nafasi ya pili na pointi 21….

Read More

YANGA:LIGI NI NGUMU,TIMU ZOTE ZIMEJIPANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ligi sio nyepesi kwa kuwa kila timu imejipanga kupata pointi tatu. Kwenye msimu wa 2021/22 mpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo hata mmoja baada ya kucheza mechi 10 ikiwa imeshinda nane na kulazimisha sare mechi mbili. Mchezo wake uliopita ilikuwa mbele ya Biashara United ambapo ilishinda mabao 2-1…

Read More

KOCHA SIMBA ACHIMBISHWA

IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery kocha msaidizi wa Simba amefikia makuliano ya kuachana na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga na Simba kwa ajili ya kuweza kuiongoza katika mashindano ya kimataifa kutokana na aliyekuwa kocha wa wakati huo Didier Gomes kutokidhi vigezo vya CAF. Kwa sasa timu ya Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco mwenye…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA

LEO Desemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo timu nne zinatarajiwa kushuka uwanjani kusaka pointi tatu. Ni Coastal Union ikiwa imetoka kushinda mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City itasaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania. Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…

Read More

KIUNGO MPYA YANGA KUKUNJA MILIONI 158

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 50Mil kwa ajili ya kununua mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Biashara United, Denis Nkane huku ikimpa mshahara wa Sh mil 3 kwa mwezi. Nkane ni kati ya wachezaji waliokuwa wanawaniwa vikali na timu kongwe za Yanga na Simba ambayo ilizidiwa ujanja katika kuwania saini ya kiungo huyo kinda….

Read More

KMC YASAHAU KICHAPO CHA SIMBA,HESABU ZIPO HAPA

HABIB Kondo, Kocha Msaidizi wa Klabu ya KMC amesema kuwa wamesahau matokeo waliyoyapata mbele ya Simba sasa hesabu zao ni mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting. KMC ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 dhidi ya Simba katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Leo KMC itakuwa na kazi ya…

Read More