
NTIBANZOKIZA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA BIG STARS
SAID Ntibanzokiza, aliyekuwa nyota wa kikosi cha Yanga anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Singida Big Stars ambayo zamani ilikuwa inaitwa DTB. Timu hiyo imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22 ikitokea Championship na msimu ujao wa 2022/23 itakuwa ndani ya ligi. Habari zimeeleza kuwa timu hiyo ambayo itakuwa na maskani yake Singida huku…