
KILA LA KHERI KWENYE NUSU FAINALI,UMAKINI UNAHITAJIKA
LEO ni nusu fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo watani wa jadi Yanga na Simba wanatarajiwa kumenyana kwenye mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa. Hamna namna mshindi lazima apatikane na tunajua kwamba kila timu imefanya maandalizi vizuri kwa ajili ya mchezo huu muhimu. Atakayeshinda leo anauhakika wa kucheza fainali na huko pia ni muhimu kila mmoja…