SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MLANDEGE
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege. Leo saa 2:15 usiku Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mlandege mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Amaan. Pablo amesema kuwa wachezaji wanajua majukumu yao na wapo tayari kwa ajili…