KIUNGO DENNIS NKANE AWEKWA CHINI YA UANGALIZI

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Denis Nkane ni kama ameanza vibaya ndani ya timu hiyo baadaya mapema tu kupata uvimbe juu ya goti la kulia na kumfanya kuwa nje ya uwanja kwa muda, huku akiwekwa chini ya uangalizi maalum wa daktari. Nkane ni kati ya wachezaji  wanne waliosajiliwa na kutambulishwa ndani ya Yanga katika usajili huu wa dirishadogo uliofunguliwa Desemba 16, 2021 na kutarajiwa kufungwa Jumamosi hii. Wachezaji…

Read More

MFUNGAJI BORA KOMBE LA MAPINDUZI HAYUPO

JANUARI 11,2021 kiungo Miraj Athuman, ‘Sheva’ akiwa ndani ya Simba alifunga bao lake la nne katika Kombe la Mapinduzi. Kwenye mchezo huo Simba ilishinda mabao 2-1 na Sheva aliibuka kuwa mfungaji bora. Mwaka 2022 atakuwa kwa kideo akishuhudia tuzo yake ikisepa kwa kuwa kwa sasa anakipiga KMC kwa kuwa hayupo katika mashindano hayo mwaka huu…

Read More

AZAM FC WABABE MBELE YA SIMBA

REKODI zinaonyesha kwamba Azam FC wametwaa Kombe la Mapinduzi mara nyingi kuliko mpinzani wake Simba. Hivyo Azam FC ni wababe mbele ya Simba kwenye Kombe la Mapinduzi kila wanapokutana kwenye mchezo wa fainali. Azam FC imetwaa taji la Kombe la Mapinduzi mara tano huku Simba ikiwa imetwaa Kombe la Mapinduzi mara tatu. Hii inakuwa ni…

Read More

NI SIMBA V AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

USHINDI wa mabao 2-0  walioupata Simba leo Januari 10 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan katika Kombe la Mapinduzi unawafanya waweze kutinga hatua ya fainali. Ni mabao ya Meddie Kagere dakika ya 14 na PapeSakho dakika ya 48 yametosha kuwapa ushindi Simba. Sasa Simba itakutana na Azam FC kwenye mchezo wa…

Read More

DAKIKA 45,SIMBA 1-0 NAMUNGO FC

SIMBA inakwenda mapumziko ikiwa inaongoza kwa kufunga bao 1-0 dhidi ya Namungo FC baada ya dakika 45 kukamilika. Ni Meddie Kagere amepachika bao la kuongoza katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Namungo FC. Bao hilo limepachikwa dakika ya 14 baada ya kipa wa Namungo, kutema mpira uliopigwa na…

Read More

AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

MABINGWA wa kihistoria kwenye Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wameibuka na ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mbele ya Yanga kwa ushindi wa penalti. Dakika 90 zilikamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu hivyo mshindi ametafutwa kwa kupitia mikwaju ya penalti. Ilikuwa ni moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa ambapo…

Read More

AZAM FC 0-0 YANGA,KOMBE LA MAPINDUZI

KOMBE la Mapinduzi,nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Amaan dakika 45 za awali zimeguka. Azam FC 0-0 Yanga mpaka sasa hakuna timu ambayo imeona lango la mpinzani. Mshindi wa fainali hii ya kwanza atakutana na mshindi wa fainali ya pili ambapo kutakuwa na mchezo kati ya Namungo FC dhidi ya Simba. Mabingwa watetezi wa Kombe…

Read More

KIPA SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

JEREMIA Kisubi, kipa namba tatu wa Simba leo Januari 10,2022 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar. Usajili wake ni wa mkopo akitokea Simba ambapo huko alikuwa hapati nafasi ya kuanza katika mechi za ushindani.   Aliibuka ndani ya Simba akitokea Tanzania Prisons ambapo huko alikuwa ni chaguo namba moja la benchi la ufundi. Ni…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WAANZA KAZI

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga umeanza kazi kwa ajili ya kuivutia kasi Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kuchezwa leo. Januari 10,2022 Yanga ambao ni mabingwa watetezi wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15. Fiston…

Read More

ARTETA AKASIRISHWA KUTOLEWA KOMBE LA FA

MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa ni maumivu makubwa wameyapata baada ya kupoteza mbele ya Nottm Forest na kutolewa kwenye Kombe la FA. Katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA ubao wa Uwanja wa City Ground ulisoma Nottm Forest 1-0 Arsenal. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Lewis Grabban dakika…

Read More