Home Sports VIDEO:KIPA ALIYEFUNGWA NA SAKHO ATAJA KILICHOWAFANYA WAKAFUNGWA

VIDEO:KIPA ALIYEFUNGWA NA SAKHO ATAJA KILICHOWAFANYA WAKAFUNGWA

JANA Januari 10, Namungo FC ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi na kuwafanya wafungashiwe virago kwa kuishia hatua ya nusu fainali, Nahimana ambaye ni kipa aliokota mabao mawili yalifungwa na Sakho pamoja na Meddie Kagere ambao waliweza kufunga kwenye mchezo huo.

Previous articleAZAM FC WABABE MBELE YA SIMBA
Next articleKIUNGO WA SIMBA KUIBUKIA DTB,TAMBWE KUONGEZEWA NGUVU