
SADIO MANE APANDIWA DAU TENA NA BAYERN MUNICH
BAYERN Munich wanajiandaa kuwasilisha ofa kwa ajili ya kumpata winga Sadio Mane ambaye anakipiga ndani ya Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England. Ni zaidi ya pauni milioni 30 zimetengwa na Bayern Munich kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo raia wa Senegal ambaye anahitaji kuondoka hapo. Dau la kwanza lilikuwa pauni milioni 30 mabosi wa Liverpool waliligomea…