
ARSENAL WAANZA KWA KASI LIGI KUU ENGLAND
ARSENAL wameanza Ligi Kuu England kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace ugenini watupiaji walikuwa ni Gabriel Martinell dk ya 20 na Marc Guehi OG dk ya 85. Arsenal inakuwa ni timu ya kwanza msimu wa 2022/23 kuweza kufunga na kuongoza ligi. Mbali na hilo kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Selhurst Park…